top of page
  • White Facebook Icon
  • White Instagram Icon

Lumnara Tanzania
Boost Post Inaumiza Biashara Yako

 

The best marketing agency

287

SATISFIED CLIENTS

352

PROJECTS COMPLETED

12983

MARKETING CONSULTANTS

9

AWARDS RECEIVED

HUDUMA ZETU.....

DIGITAL MARKETING STRATEGY & PLANNING

Tunakusaidia kuchagua ni mbinu[strategy] gani utumie ili uweze kupata wateja kwa haraka zaidi kwenye biashara ndogo, kubwa,kampuni au taasisi

SEO CONTENT WRITING

SEO hii ni search engine optimization, ni maboresho katika website yako ili mtu atakavyo-search mfano"duka la nguo za watoto dar es salaam" maana yake kama unauza nguo duka lako liwe la kwanza kuonekana au maelezo mafupi yapo hapo chini

 

Engage your audience and improve search engine rankings with our professional SEO copywriting services.

SOCIAL MEDIA MARKETING

kwa jinsi tech ilivyo badilika lazima kila biashara ijitangaze kupitia mitandao ili kufikia wateja wengi zaidi na kukuza brand,

tupo hapa kukusaidia kuhakikisha unanikisha hilo kwa kukutengenezea tangazo linalo enda moja kwa moja kwa wateja wako na enye uhitaji

usifanye biashara kama 1961 

instagram na facebook zina wateja wengi sana

BOOST POST

boost post sio namna sahihi ya kufanya tangazo huwezi weka detail nyingi kuhusu wateja wako hivyo inakuwa ngumu kwa meta kujua hasa ni watu gani wana respond vizuri wakiona tangazo lako na kuweza kuwa wateja

budget kubwa hupotelea kwenye ku test tu.

GEO-TARGETED SEO

Reach local customers and enhance your online presence with our specialized geo-targeted SEO solutions.

DESIGN & BRANDING

From concept to execution, we offer innovative design and branding services to elevate your brand identity.

SERVICES

ABOUT US

lengo letu kama lumnara marketing agency ni kuhakikisha unafanya matangazo kwa usahihi na pia account zako zimefanyiwa settings inavyo takiwa ili upate data zote za wateja wako kwa usahihi mkubwa 

usipo fanya matangazo inavyo takiwa utapoteza pesa nyingi sana na biashara itakufa kwa sababu matangazo sio sehemu ya biashara kutumia hela bali matangazo ni uwekezaji, yatafute mteja wa leo kesho hata mwezi ujao

advertising is investment so invest wisely

lumnara tanzania
ABOUT
WORKS
CONTACT

CONTACT US

PHONE 0750780373

DAR ES SALAAM

dar es  salam Tanzania 

© 2035 by EPS Marketing. Powered and secured by Wix

bottom of page