
Industries
taasisi/kampuni
biashara kubwa
biashara ndogo
Healthcare
Energy

Unaweza Kuiweka Biashara Yako Namba Moja Online
maatangazo ni moja ya njia ya haraka kukaa namba moja kwenye niche unayo fanya mfano, cosmetics unaweza ukawa ranked number 1 kwa kufanya matangazo vizuri na kufikia audience kubwa na kama utakuwa na consitence nzuri utapa relevance kubwa hivyo meka wakakuweka number moja, mfano mtu aki search cosmetic basi duka lako litakuwa option ya kwanza kabisa
huduma zetu
hizi ni baadhi ya vitu tunavyo husika navyo ili kuwa na uhakika
na flow ya wateja tangu siku wanaoona tangazo lako
Meta ads
meta ads ina¬include settings za page zako , instagram,facebook page, ad account na pia ku optimize campaign na kukupa analysis ya performance ya matangazo yako,
Google ads
upande wa google ads ni complex kidgo kuna vitu ving hapa kwanza ku¬optimize website , google analytic, google tag manager na kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa.
tiktok ads & X ads
hapa kubwa ni account optimization and campaign settings
Account optimization
kama unafanya matangazo na ccount zako hazieleweki unahisi meta wataelewa vip biashara yako na kuwa na uhakika wa ku¬target wateja wako
Account settings
kama bado utabakia kwenye BOOST POST, matangazo yana chance kubwa ya kuua biashara usipo kuwa makini
More About Our Solutions
KWA WATEJA WETU
hapa ndio sehemu pekee unapo pata elimu kuhusu sponsered ads kwa undani
The Perfect Customer Experience
“This is the space to share a review from one of the business's clients or customers.”
Poul Gingere
bennertik
“Use this space to share a testimonial quote about the business, its products or its services. Insert a quote from a real customer or client here to build trust and win over site visitors.”
Adam Barne
Eternet








